MAJUKUMU YA IDARA.
Majukumu
zana bora zakujifunzia na kufundishia. Mfano Kompyuta Mpakato (Laptop) na ufundishaji kwa kutumia Power Point kwa madarasa ya I na II
Manispaa ya Moshi ina jumla ya shule 50 zikiwemo 35 za Serikali na 15 zisizo za Serikali. Katika Shule za Msingi kuna Shule 5 zenye Vitengo Maalumu kwa wanafunzi wenye ulemavu wa akili na wasioona na 1 ya viziwi.
Elimu ya Awali
Manispaa ya Moshi ina jumla ya shule 51 za elimu ya awali zikiwemo 35 za Serikali na 16 zisizo za Serikali.
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi