TAARIFA YA MAANDALIZI YA MWENGE WA UHURU MANISPAA YA MOSHI 22/09/2015-23/09/2015

Maandalizi ya mapokezi ya mbio za mwenge wa uhuru kiwilaya yanaendelea. Mwenge wa Uhuru utapokelewa kutoka Halmashauri ya Rombo tarehe 22/09/2015. Eneo la Shule ya Sekondari Msaranga, na kuukabidhi Wilaya ya Mwanga tarehe 23/09/2015 eneo la shule ya msingi Kifaru.

Maandalizi yanaendelea kwa kufuata maagizo    soma zaidi

Nukuu ya Leo

"Hatuna viwanda vya kuajiri vijana wetu wote, lakini tunayo ardhi ya kutosha sisi wote iwapo unyang’anyi wa ardhi utakomeshwa. Umaskini kwa watu wengine ni kukosa ardhi"Nukuu ya :
Edward Moringe Sokoine

Kupandishwa Vyeo na Mafunzo Kupanda Vyeo & Mafunzo

Mamlaka za Serikali za Mitaa huanzishwa kwa kuzingatia Ibara 145 na 146 ya katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania read more

Meya wa Manispaa

Mkurugenzi wa Manispaa

Mawakala wa Manispaa

 

 

Location map (Town council)

 

All right reserved by Moshi Municipal Council