• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Urban Planning and Land

Kazi za Mipangomiji na usimamizi wa Ardhi katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi zinasimamiwa na kutekelezwa na Idara ya Mipangomiji na Ardhi.  Ili kuleta ufanisi katika kutekeleza majukumu yake Idara imegawanyika katika vitengo vinne ambavyo ni Mipangomiji, Ardhi, Uthamini na Upimaji.

Kitengo cha Mipangomiji kinajihusisha na kazi za  maandalizi ya mipango ya kina ambayo huwezesha kupatikana kwa maeneo kwa  ajili ya makazi, biashara, maeneo ya wazi, huduma za jamii, maendeleo ya viwanda, miundombinu na maeneo ya hifadhi.  Pia kitengo kinafanya kazi ya usimamizi wa matumizi ya ardhi kwa mujibu wa mipango, kuanisha maeneo mapya ya mipango na utunzaji wa maeneo ya wazi.

Kitengo cha Ardhi kinajihushisha na utawala na usimamizi wa ardhi yote iliyopo ndani ya eneo la utawala wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kwa kuzingatia sheria za ardhi na sheria ndogo za Halmashauri .

Kitengo cha Uthamini kinafanya kazi ya kukusanya, kufanya uthamini na kuhifadhi taarifa muhimu zinazohusu soko la ardhi ndani ya Manispaa, pia kitengo hiki kinafanya kazi ya uthamini wa ardhi kwa lengo la kutoa fidia, kuuza, dhamana na kwa malengo ya utozaji kodi.

Kitengo cha Upimaji kinafanya kazi za upimaji na uchoraji ramani za viwanja kwa ajili ya maandalizi ya hati za viwanja.

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 MANISPAA YA MOSHI December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • SAKATA LA WIZI TAA ZA BARABARANI MEYA MOSHI AHAIDI DONGE NONO

    December 07, 2020
  • MSTAHIKI MEYA AWAHAKIKISHIA MADIWANI NA WATENDAJI USHIRIKIANO

    December 04, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO YA ZAIDI BIL 1.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    October 23, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO KWA ASILIMIA MIA MOJA

    July 02, 2020
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi