• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mipango,Takwimuna Ufuatiliaji

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji imegawanyika katika sehemu mbili zinazojumuisha sehemu ya Mipango na Ufuatiliaji na sehemu ya Takwimu. Idara ina watumishi 3 ambao mkuu wa Idara, Mchumi 1 na Mtakwimu 1.

 Idara inashughulika na uratibu wa uandaaji wa mpango wa Maendeleo wa kila mwaka, uandaaji wa tarifa za utekelezaji miradi ya Maendeleo kwa kila robo mwaka, nusu mwaka na ya mwaka mzima, uandaaji wa mipango kazi kwa miradi iliyoidhinishwa kutekelezwa, kufuatilia na kusimamia utekelezaji miradi ya maendeleo pamoja na kutoa tarifa za hali ya utekelezaji kwa wiki, kwa mwezi na kwa robo mwaka.  Shughuli nyingine zinazotekelezwa na Idara ni pamoja na ukusanyaji na uwekaji wa kumbukumbu sahihi za kijamii, kibiashara na kiuchumi za Manispaa ya Moshi

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 MANISPAA YA MOSHI December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • SAKATA LA WIZI TAA ZA BARABARANI MEYA MOSHI AHAIDI DONGE NONO

    December 07, 2020
  • MSTAHIKI MEYA AWAHAKIKISHIA MADIWANI NA WATENDAJI USHIRIKIANO

    December 04, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO YA ZAIDI BIL 1.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    October 23, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO KWA ASILIMIA MIA MOJA

    July 02, 2020
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi