A.VIWANDA
1.Kujenga kiwanda cha kuchakata takataka na kutengeneza mbolea (Recycling)
2.Kujenga machinjio ya kisasa eneo la machinjio - Bondeni
.UJENZI WA JENGO YA UWEKEZAJI KIBIASHARA
1.Kujenga jengo la uwekezaji wa kibiashara eneo la stendi kuu ya mabasi
.MASOKO
2.Kujenga soko la kisasa eneo la Shanty Town
3.Kujenga soko Mbuyuni kwa Ghorofa
4.Kujenga soko la kati kwa ghorofa
.STENDI
1.Kujenga stendi ya kisasa ya mabasi eneo la Ngangamfumuni
MOSHI MANISPAA KILIMANJARO
Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI
Simu: +255-027-2752906
simu ya Mkononi: +255-027-274371/4
Barua Pepe: md@moshimc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi