• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Moshi Municipal Council
Moshi Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • History
      • Maadili ya Msingi
    • Dira na Dhamira
      • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources and Administration
        • Elimu ya Msingi Michezo na Utamaduni
      • Elimu ya Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Maendeleo ya jamii na Ustawi wa Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango Takwiku na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Teknolojia Habari Mawasiliano na Uhusiano
      • Ununuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Election
    • Muundo wa Kiutawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Michezo na Utamaduni
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

History

 

1.0     Utangulizi:

Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ni miongoni mwa Halmashauri saba za Mkoa wa Kilimanjaro.  Mji wa Moshi ulianzishwa 1892, ukahamishiwa mahali ulipo sasa toka Kolila Old Moshi (Moshi Vijijini) mwaka 1911.  Mwaka 1926 ulipewa hadhi ya Mji mdogo na mwaka 1956 ukapewa hadhi ya  Mji kamili. Ulipewa hadhi ya  kuwa Manispaa mwaka 1988.

1.1     Mipaka na eneo la Manispaa: 

Manispaa  ya Moshi imezungukwa na Wilaya ya Moshi Vijijini  kwa upande wa Kusini, Mashariki na Kaskazini, upande wa Magharibi imepakana na Wilaya ya Hai. Mji wa Moshi una eneo la km za mraba 58, na upo kati ya mwinuko wa mita 700 Kusini hadi 950 Kaskazini toka usawa wa bahari. Kila km. moja ya mraba in jumla  ya wakazi wapatao 3,165.

1.2     Utawala:

Manispaa ya Moshi imegawanyika katika  Tarafa 2, Kata 21 na Mitaa 60 na ina Jimbo moja la uchaguzi.  Manispaa ina jumla ya Madiwani 29, kati yao 21 ni wa kuchaguliwa, Viti Maalum wako 7 na  Mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

1.3     Idadi ya watu:

Manispaa ya Moshi imekua kutoka  Mji mdogo uliokuwa na wakazi 8,048 mwaka 1948 na kufikia wakazi 184,292 Kulingana na sensa ya watu na makazi ya  mwaka 2012   ambapo  inajumuisha wanawake 95,118 na wanaume 89,174.

Tofauti na miji mingine nchini, makisio sahihi ya idadi ya watu yanapaswa kuhusisha watu zaidi ya 76,000 ambao wanatumia muda wa mchana mjini kwa shughuli za biashara na kufaidi rasilimali za Manispaa lakini wanaishi maeneo yanayopakana na Manispaa ya Moshi Vijijni na Hai. Watu hawa hawapo kwenye bajeti hasa kwa mfumo wa  LGCDG na programu nyingine zinazotoa  ruzuku kulingana na idadi ya watu waliopo.

Matangazo

  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA(JOINING INSTRUCTIONS)KIDATO CHA KWANZA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI 2021 December 18, 2020
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 MANISPAA YA MOSHI December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA MOSHI July 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU September 21, 2020
  • Tazama

Habari Mpya

  • SAKATA LA WIZI TAA ZA BARABARANI MEYA MOSHI AHAIDI DONGE NONO

    December 07, 2020
  • MSTAHIKI MEYA AWAHAKIKISHIA MADIWANI NA WATENDAJI USHIRIKIANO

    December 04, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO YA ZAIDI BIL 1.8 KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO

    October 23, 2020
  • MANISPAA YA MOSHI YAFANIKIWA KUTOA MIKOPO KWA ASILIMIA MIA MOJA

    July 02, 2020
  • Tazama

video

videos

Kurasa za Karibu

Tovuti Mashuhuri

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    MOSHI MANISPAA KILIMANJARO

    Sanduku la barua: P.O BOX 318 MOSHI

    Simu: +255-027-2752906

    simu ya Mkononi: +255-027-274371/4

    Barua Pepe: md@moshimc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Manispaa ya Moshi