Rais Jakaya Kikwete amemteua Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI bwana Severine Bimbona Marko Kahitwa (pichani kulia) kuwa Katibu Tawala wa Mkoa mpya wa Geita. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeeleza pia Mhe.Rais amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa saba na kufanya uhamisho wa wengine watatu. Mbali na Bwana Kahitwa wengine ni Dk. Faisal Hassan Haji Issa, ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala...
Watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kusimamia sheria za mazingira zilizopo na kuhakikisha wanapiga marufuku matumizi ya mbao katika kutengeneza samani na ujenzi ili kuhakikisha mazingira yanarudi katika hali yake ya awali. Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Leonidas Gama wakati akizungumza na watendaji wa halmashauri ikiwa ni moja ya mipango yake ya kutembelea halmashauri za mkoa huo na kuangalia...
Phone:+255 2752906
Email :
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Web : www.moshimc.go.tz
Address: P O. Box 318 Moshi.